Jamaa mmoja kutoka eneo la Wote, Makueni alipata aibu ya mwaka alipoanguka sakafuni na kuramba mchanga akimkazia macho mrembo.
Inasemekana jamaa alipoanguka, wafanyikazi wengine wawili wa benki waliokuwa wakielekea kazini pia nao walianguka.
Habari Nyingine: Mamake Gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati afariki usingizini
Kulingana na Taifa leo, jamaa alikuwa akielekea madukani na mkewe ili kumnunulia zawadi ya siku ta wapendanao na waliposhuka kutoka garini walianza kuswaga mguu kuelekea lilikokuwa duka hilo. Read More...
Nigeria News11 months ago Tribunal Affirms Nwifuru’s Election As Ebonyi Governor, Dismisses Petitions Against Victory The Ebonyi Governorship Election Petitions Tribunal has affirmed the election of Francis Nwifuru as the duly elected Governor of the South East State. Nwifuru, the governorship...
ncG1vNJzZmivp6x7r63Io5innaeoe6S7zGirqKiZmHyKssSapbKhXYSxqrWO