You need to watch this amazing 'America's Got Talent' performance by blind and autistic contestant Kodi Lee — plus what you need to know about the musical prodigy.
Source: NBCMusic is transcendent. Season 14 of America’s Got Talent kicked off last night, and while there were many fantastic performances, one act that made a huge impact on our hearts was blind and autistic singer Kodi Lee.
Being led to the stage by his mom Tina, Kodi played the piano and sang “A Song for You. Read More...
- Rais wa Amerika Barack Obama ametoa tahadhari ya usafiri kwa Waamerika wanaoishi Kenya, siku chache kabla yake kuondoka ofisini
- Obama aliwaonya Waamerika hao dhidi ya kutembelea maeneo kadha kwa hofu ya mashambulizi ya kigaidi
Siku chache kabla kuondoka ofisini, Rais Barack Obama ametoa tahadhari ya usafiri kwa raia wa Amerika wanaoishi Kenya. Habari Nyingine: Watu 12 wafariki kutokana na shambulizi la kigaidi
Obama alitoa tahadhari hiyo ya hivi punde kwa Waamerika walio Kenya kufuaia hofu kwamba maeneo fulani nchini yaweza kushambuliwa na magaidi. Read More...