Magazeti ya Alhamisi, Mei 27, yameripotia kuhusu vita vilivyoshuhudiwa baada ya Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kutawazwa msemaji wa Mlima Kenya.
Magazeti haya pia yameripotia kuhusu kesi ya rufaa ambayo Rais Uhuru Kenyatta aliwasilisha dhidi ya uamuzi wa korti kuharamisha mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI).
Habari Nyingine: Mary Gorreti Boroswa: MCA Anayeishi na HIV Awapa Tumaini Waathiriwa wa Virusi
Habari Nyingine: Europa League: Villarreal Wapiga Man United Kupitia Matuta ya Penalti na Kushinda Taji Read More...